Hivi punde JF-Expert Member Joined Apr 1, 2017 Posts 2,554 Reaction score 8,627 Aug 19, 2022 #1 Wakuu Ninahitaji kifaa kinaitwa GPS kwa bei nzuri ya kizalendo. Hata iwe used au mpya , but bei nzuri ya kitanzania. Asante
Wakuu Ninahitaji kifaa kinaitwa GPS kwa bei nzuri ya kizalendo. Hata iwe used au mpya , but bei nzuri ya kitanzania. Asante
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,687 Reaction score 97,484 Aug 19, 2022 #2 Nina Garmin ya kazini hapa sijui nikuuzie. Ebu sema maximum una bei gani nione kama nijilipue au?
J JBourne59 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2020 Posts 952 Reaction score 8,875 Aug 19, 2022 #3 Gps device kwa ajili ya matumizi yapi? tracking issues? driving / navigation issues? Area measurement issues?
Gps device kwa ajili ya matumizi yapi? tracking issues? driving / navigation issues? Area measurement issues?
Profesa wa Maliasili JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 632 Reaction score 1,933 Aug 19, 2022 #4 Nina Garmin hapa etrex 10 kama una 250k leta nikuuzie
mkushi wa kushi JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 657 Reaction score 996 Aug 21, 2022 #5 Hivi punde said: Wakuu Ninahitaji kifaa kinaitwa GPS kwa bei nzuri ya kizalendo. Hata iwe used au mpya , but bei nzuri ya kitanzania. Asante Click to expand... Aina gani na ya kufunga kwenye Nini
Hivi punde said: Wakuu Ninahitaji kifaa kinaitwa GPS kwa bei nzuri ya kizalendo. Hata iwe used au mpya , but bei nzuri ya kitanzania. Asante Click to expand... Aina gani na ya kufunga kwenye Nini
Amazon Woman JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 796 Reaction score 1,191 Aug 21, 2022 #6 jaluo jr said: Nina Garmin hapa etrex 10 kama una 250k leta nikuuzie Click to expand... Unapatikana wapi???
jaluo jr said: Nina Garmin hapa etrex 10 kama una 250k leta nikuuzie Click to expand... Unapatikana wapi???
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,905 Reaction score 33,099 Aug 21, 2022 #7 Mkuu labda ungeelezea GPS ya aina gani au unataka kufanyia nini. Hizi makitu zina uwanja mpana sana isijekuwa unataka RTK system set ya Rover 4 with repeaters watu wanakujibu vya hand held garmins
Mkuu labda ungeelezea GPS ya aina gani au unataka kufanyia nini. Hizi makitu zina uwanja mpana sana isijekuwa unataka RTK system set ya Rover 4 with repeaters watu wanakujibu vya hand held garmins