Drama Gani tena mkuu?drama lingine hilo linaanza sasa sisi yetu macho
una mkwanja wa kueleweka?
dah bila mpesa jamani
hebu toa hicho kipengele hapo...pesa ni makaratasi tu bwana
kwani kunipa hela ya saluni mara moja moja kuna shida gani.?
wacha ubahili upate mke
sasa kama mtu hana nauli jamani?Smile sijamaanisha hivyo.... Kuna wale wanakuja hata hamjaonana unasikia baby nna shida ya Laki.dah inabore!kimsingi. Mti umwagilie maji uchanue.nafikiri umenisoma.
Una mkwanja wa kueleweka?
sasa kama mtu hana nauli jamani?
Ntakujuza so far no PM! Wote punguza vigezo kama madaraja ya Elimu ya Kawambwa!Mmhh kumbe wanapatikana kiraisi ivi..???aya ukipata unijuze na mimi nijitafutie wangu.
Hmmmm PM. Inakuhusu vigezo na masharti kuzingatiwa!Mmh luks like I.........
Teheeee, bila matumizi ss hayo ni maisha kweli jmn ww kaka? Maisha ni matumizi na matumizi ni mpesa+tigopesa+Airtel money.....lol. Km hayo huyataki utampata lakini ww utakua wa kuzugia tu atakuwepo mwngne wa kuhudumia lyk mafuta kwa gari, saloon, mpesa, tigopesa, outings, shopping nk.
Sent from my BlackBerry
JF hakuna ma gold Digger bro, hao MGD wapo FB. Ngoja warembo waje utampata tu. Kila la kheri
Sent from my BlackBerry
Dah Papuchi for sale zimechukua nafasi ya companion and compassion....wacha kumdanganya mwenzio...GD wapo sana...papuchi for sale kijana everywhere u go
Ar u sure dada?mbona Mambo ya MPesa yamepingwa sana kwenye uzi huu?JF hakuna ma gold Digger bro, hao MGD wapo FB. Ngoja warembo waje utampata tu. Kila la kheri
Sent from my BlackBerry