Nahitaji girlfriend

Travisy

Senior Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
175
Reaction score
60
Mimi ni kijana umri 27, nahitaji galfrend, sifa zozote sichagui aliyetayari ani pm
 
27 unashindwa kutongoza uso kwa uso...
 
Kwani kila unaemtongoza anakukataa ndo sasa umeamua kutafutia hapa?
 
27 unashindwa kutongoza uso kwa uso...
Na mlivyo kuwa mnapiga vijana wasiende JKT kwenda kupata mafunzo ya ukomavu na ujasiri na usalendo mkawa mnapiga madhara yake ni kama haya!! Jamaa hana ujasiri wa kutongoza mwanamke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…