Wadau,
Nahitaji gari zifuatazo kama kuna mtu anauza. Iwe imetumika kati ya mwaka mmoja hadi miwili, na iwe katika hali nzuri.
Bei ni maelewano kutokana na hali ya gari.
- Toyota Premio, 1800cc au 2000cc
- Toyota Carina Ti 1500cc
- Toyota Carina 1800cc
- Toyota Corola 110
- Toyota Caldina
- Toyota Vitz
- Suzuki Swift
Kama una gari tofauti na hizo hapo juu unauza, sio mbaya uki ni PM.
Thanks,
Ben
Ninayo Premio 1800, ya Mwaka 1996, engine 7A iko mzuri sana waweza kuni PM kwa maelekezo zaidi.
Lakini si amesema u-PM kama unayo?
Mkuu ni PM tuchonge!
Kimafey, Mimi ni mgeni kwenye JF hebu nijuze ku PM ni kufanya nini naona hii teminology imenipita kushoto.
Wageni wamekutana kwenye biashara ya gari hapo sasa. Ni PM na wewe ni PM. Mimi sijui na mimi sijui. JF ni zaidi ya burudani