Mtokambali
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 222
- 99
Gefu nirushie kwa pm wazee wa kazi...kama upo bongo nenda kidongo chekundu unapata gari kali kwa bei nzuri na chenji inabaki...kama vipi chapa pm nikupe namba za vijana wa kazi...
...kama upo bongo nenda kidongo chekundu unapata gari kali kwa bei nzuri na chenji inabaki...kama vipi chapa pm nikupe namba za vijana wa kazi...
Wakuu heshima zenu. Mimi nahitaji gari kwa haraka. Liwe na 4 wheel drive,preferably SUV body,liwe limetembea chini ya kilometa 100000 na ndani pawe na mvuto sana. Sipendelei rangi zifuatazo: Nyeupe,silver na kijani. Rangi zingine zote OK. Bajeti yangu ni 10M. Serious sellers niPM picha pleeease. Mwenye ushauri pia anakaribishwa hapa kwenye Wall.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
...kama upo dar nenda hapo karibu n jengo la ushirika, kama unataka gari zuri,yaani kuuziwa bila magumashi tafuta kijana unaye mfahamu pale utapata gari nzuriii kabisa...Kaka ni wapi huko tuelekezane