N nyamkuta Senior Member Joined Mar 17, 2017 Posts 126 Reaction score 96 Sep 24, 2017 #1 Wakuu Salaam., nikiwa katika maandalizi ya mama watoto ambaye ni mjamzito, Nahitaji gari tajwa hapo juu,namba D.,kutoka kwa mwenye mali. mwenye nayo ani PM niseme nae vizuri. Budget kwa sasa ni 7M. Natanguliza shukrani
Wakuu Salaam., nikiwa katika maandalizi ya mama watoto ambaye ni mjamzito, Nahitaji gari tajwa hapo juu,namba D.,kutoka kwa mwenye mali. mwenye nayo ani PM niseme nae vizuri. Budget kwa sasa ni 7M. Natanguliza shukrani