Ngoja wajeWakuu nahitaji gari ndogo, cc 1300 max, iwe ya mwaka 2003 au baada, pia iwe pistone 4 (vitz, passo, suzuki, n.k).
Budget yangu ni 5m max!
Karibuni
Master of the gameWakuu nahitaji gari ndogo, cc 1300 max, iwe ya mwaka 2003 au baada, pia iwe pistone 4 (vitz, passo, suzuki, n.k).
Budget yangu ni 5m max!
Karibuni
Nina premio old model vip itakufaa?Wakuu nahitaji gari ndogo, cc 1300 max, iwe ya mwaka 2003 au baada, pia iwe pistone 4 (vitz, passo, suzuki, n.k).
Budget yangu ni 5m max!
Karibuni
Aksante, nawasubiriNgoja waje
Kama ina-meet specs hapo juu, njoo pmNina premio old model vip itakufaa?