L lamwija New Member Joined Mar 16, 2012 Posts 3 Reaction score 1 Mar 16, 2012 #1 Kama una vitz au corolla ya mwaka kuanzia 2000, 2001...... na kuendelea juu tuwasiliane, iwe na km chini ya 100,000 na iwe katika hali nzuri. bei isizidi 7Mil. no yangu ni 0755 555351. Naomba kuwasilisha.
Kama una vitz au corolla ya mwaka kuanzia 2000, 2001...... na kuendelea juu tuwasiliane, iwe na km chini ya 100,000 na iwe katika hali nzuri. bei isizidi 7Mil. no yangu ni 0755 555351. Naomba kuwasilisha.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,753 Mar 16, 2012 #2 Nina Cresta ya 2000 bei 8m,silver odo 92000km,vvti,register mwaka jana june kama ukiitaji ni PM good condition Alloy Rims/ac/cd
Nina Cresta ya 2000 bei 8m,silver odo 92000km,vvti,register mwaka jana june kama ukiitaji ni PM good condition Alloy Rims/ac/cd
F FOEL Senior Member Joined Jan 19, 2012 Posts 141 Reaction score 34 Mar 16, 2012 #3 Wakuu hivi nisehemu gani naweza kupata kitimoto safi weekend hii, hali ya hewa inaruhusu sana..
Bado Niponipo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2008 Posts 680 Reaction score 168 Mar 16, 2012 #4 FOEL said: Wakuu hivi nisehemu gani naweza kupata kitimoto safi weekend hii, hali ya hewa inaruhusu sana.. Click to expand... Mkuu hii thread inahusu gari vipi tena, Lakini kwa mnyama wa taifa, jaribu coco beach, pork pub...ameenda shule..
FOEL said: Wakuu hivi nisehemu gani naweza kupata kitimoto safi weekend hii, hali ya hewa inaruhusu sana.. Click to expand... Mkuu hii thread inahusu gari vipi tena, Lakini kwa mnyama wa taifa, jaribu coco beach, pork pub...ameenda shule..
M Mama Coo Member Joined Mar 17, 2012 Posts 11 Reaction score 0 Mar 17, 2012 #5 FOEL said: Wakuu hivi nisehemu gani naweza kupata kitimoto safi weekend hii, hali ya hewa inaruhusu sana.. Click to expand... Nenda mabibo ndugu yangu kama uko dar kuna kitimoto safi ya kuchoma
FOEL said: Wakuu hivi nisehemu gani naweza kupata kitimoto safi weekend hii, hali ya hewa inaruhusu sana.. Click to expand... Nenda mabibo ndugu yangu kama uko dar kuna kitimoto safi ya kuchoma