Ziko sana ' Ugweno ' huko Upareni Mwanga hebu wasiliana na Wapare Mkuu kwani nadhani Tanzania nzima wao ndiyo wenye mapenzi ya dhati kabisa na hizo aina ya Gari.
Ukitaka gari zote za zamani kuanzia Staut,Bittle hadi Mandolini nenda Arusha au Moshi utazipata nyingi tuu sababu Wazee wa kule wanajua kutunza gari sana.