Nahitaji fundi wa finishing ya nyumba

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
Habarini.
Natafuta fundi atakaenifanyia finishing ya nyumba yangu. Tayari imeshaezekwa kila kitu.
Lakini nataka finishing ya nguvu kitu kionekane classic
Masharti yangu: Atanipeleka kwenye nyumba aliyofanyia finishing ya maana ili nione kazi zake halafu ndio tukae mezani. Hamna longolongo wasambaa wanasema "seeing is believing"
Haya kazi kwenu.
 
Niko hapa.
 
Na utahakikishaje kwamba anachokuonyesha ni kazi yake?
 
Fundi aliyekujengea finishing hajui, au mwanzo kajenga vibaya, fund akikujengea mwanzo, finishing ukimuacha anajisikia vibaya kweli.
 
Fundi aliyekujengea finishing hajui, au mwanzo kajenga vibaya, fund akikujengea mwanzo, finishing ukimuacha anajisikia vibaya kweli.
Kajenga poa ila anazingua bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…