Nahitaji fundi ujenzi

Dseni

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
40
Reaction score
52
Nahitaji fundi ujenzi. Na nitampatia kazi ya ujenzi kama atatimiza vigezo hivi.
1. Apige hesabu ya jengo lote kuanzia mwanzo mpaka mwisho (materials nk)
2. Aweke labour charge zake wazi.
3. Abainishe atamaliza ujenzi kwa muda gani
Naambatisha ramani
Whatapp only +255769080629
 
1. Hujataja location yako mkuu
2. Kwa nature ya hii kazi( public interest) nahisi utahitaji kibali cha ujenzi na michoro iliyo sanifiwa kwa isahihi..
 
Utakua unajisaidia kwa jirani? mbona choo hamna sasa [emoji4]
 
Tafuta Arch akuchoree ramani na qs akufanyie mahesabu ya kila kitu na labour charge na program of work utapewa, mafundi watakutaftia hao hao
 
Kumbe unajenga kanisa? Kwa mtindo huo wa ujenzi hilo kanisa limekaa kama kitega uchumi flani hivi... Maana nyumba ya mchungaji haichezi mbali na ofisi na kanisa lenyewe.

Ila mzee mchungaji baba umesahau kuweka kaToilet hapo kwenye mjengo. Sawa waumini watajisaidia kivyao, ila wewe na mama mchungaji itakuwaje?
 
Utakua unajisaidia kwa jirani? mbona choo hamna sasa [emoji4]

Hahahah mmenifanya nirudi kuangalia ramani yake tena!!! Hahahah

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…