K Kingsimba JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 382 Reaction score 121 Dec 14, 2012 #1 Nahitaji eneo la hekali mia moja maeneo ya kibaha kwa ajiri ya eneo kuweka yadi ya mizigo...iwe karibu na barabara na eneo lenye umeme liwe maeneo ya kibaha au mlandizi mwanzoni kabisa......mawasiliano 0713935738
Nahitaji eneo la hekali mia moja maeneo ya kibaha kwa ajiri ya eneo kuweka yadi ya mizigo...iwe karibu na barabara na eneo lenye umeme liwe maeneo ya kibaha au mlandizi mwanzoni kabisa......mawasiliano 0713935738
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,343 Dec 15, 2012 #2 Mkuu mimi nina ekari 101 boko magereza,unapaonaje?3km kutoka wazo
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Dec 16, 2012 #3 we ndiye unayetaka au we dalali mi ni dalali eneo lipo ni km 2 kutoka barabarani lipo kibaha 0657145555
we ndiye unayetaka au we dalali mi ni dalali eneo lipo ni km 2 kutoka barabarani lipo kibaha 0657145555
H hamsinij JF-Expert Member Joined Apr 21, 2012 Posts 371 Reaction score 58 Dec 16, 2012 #4 nina heka 800 kibaha ndani kila heka 400000
K Kingsimba JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 382 Reaction score 121 Dec 16, 2012 Thread starter #5 Mimi sio dalali ila ni mtu niliepewa kazi ya kutafuta eneo na boss wangu plan ni kutengeneza bandali ya nchi kavu maeneo hayo....
Mimi sio dalali ila ni mtu niliepewa kazi ya kutafuta eneo na boss wangu plan ni kutengeneza bandali ya nchi kavu maeneo hayo....
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Dec 16, 2012 #6 hamsinij said: nina heka 800 kibaha ndani kila heka 400000 Click to expand... Mkuu yeye kakwambia anahitaji 100 tu,mambo ya 800 yatoka wapi au unataka kutuonyesha ni jinsi gani unamiliki kiasi kikubwa cha ardhi?
hamsinij said: nina heka 800 kibaha ndani kila heka 400000 Click to expand... Mkuu yeye kakwambia anahitaji 100 tu,mambo ya 800 yatoka wapi au unataka kutuonyesha ni jinsi gani unamiliki kiasi kikubwa cha ardhi?
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Dec 16, 2012 #7 Kingsimba said: Mimi sio dalali ila ni mtu niliepewa kazi ya kutafuta eneo na boss wangu plan ni kutengeneza bandali ya nchi kavu maeneo hayo.... Click to expand... sawa asante eneo mi ninalo ni heka 102 hvi lina document zote tutafutane basi tukae mezani tumalize biashara
Kingsimba said: Mimi sio dalali ila ni mtu niliepewa kazi ya kutafuta eneo na boss wangu plan ni kutengeneza bandali ya nchi kavu maeneo hayo.... Click to expand... sawa asante eneo mi ninalo ni heka 102 hvi lina document zote tutafutane basi tukae mezani tumalize biashara
K Kingsimba JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 382 Reaction score 121 Dec 16, 2012 Thread starter #8 Akiri said: sawa asante eneo mi ninalo ni heka 102 hvi lina document zote tutafutane basi tukae mezani tumalize biashara Click to expand... ok kaka kwa kua nimeona namba yako j3 nawasilisha ofisini alafu nitakupigia jioni tuone tunafanyaje usijali
Akiri said: sawa asante eneo mi ninalo ni heka 102 hvi lina document zote tutafutane basi tukae mezani tumalize biashara Click to expand... ok kaka kwa kua nimeona namba yako j3 nawasilisha ofisini alafu nitakupigia jioni tuone tunafanyaje usijali