Kama heading inavyosema, nahitaji camera aina ya Nikon au Olympus. Iwe na hali nzuri (iwe na uwezo wa kutoa picha nzuri, iwe na megapixel 12 na kuendelea. Kama unayo ni PM.
Kuna 14.2mp hapa ni used...tsh.140,000/= tu....ni nikon......PM me your number
vipi inapiga picha vizuri