fanya mazoezi sana sana ya miguu kimbia ,chuchumaa na kuinuka ,kula ndizi mbivu ,kula matikiti maji mwisho jiamini na hicho hicho utaweza mlizisha mwanamke kuliko kutaka mb kubwa
Mtafute wa size yako tu bro, ambaye nchi 3-4 ataona zinamtosha, hila kama unakimbilia magumegume ndio maana unaona unaogelea......hila wait waje wajuzi wa mambo nadhani watakua na ushauri zaidi
Ili iwe ndefu kwa ajili ya nini? Kwanini usijikubali, kama ni kupendwa utapata atakayekupenda kiukweli hivohivo ulivo. Kama kuna mwanamke uko naye anakutuma ufanye hivo, achana naye kwani huyo hakupendi.