ng'wanankamba
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 346
- 120
Wadau nahitaji container la 40 ft, Mwanza mjini, liwe katika hali nzuri. Offer yangu ni shs milioni tano.
CONTAINERS TRADEXWadau nahitaji container la 40 ft, Mwanza mjini, liwe katika hali nzuri. Offer yangu ni shs milioni tano.
Mkuu waweza kuniunganisha na wenye malori? Nina container langu ft 20 liko Lindi nataka kulileta Dar..CONTAINERS TRADEX
Sisi tunauza container la futi 40 kwa bei ya US$ 2200 au Tsh 4,829,000 likiwa Dar, ila unaweza kuongea na wenye malori likafikishwa Mwanza kwa bei ndogo.
Namba zangu ni 0719 540 445 au 0754 336 877 au 0786 453 273
Mkuu waweza kuniunganisha na wenye malori? Nina container langu ft 20 liko Lindi nataka kulileta Dar..[/QUOTE
Lilete bana tufugie mbuzi ☺