Food Scientist
Senior Member
- Apr 29, 2017
- 102
- 185
Bei gani nkuhungu nami na shida Ila iwe selfNkuhungu utachukua??
Nkuhungu utachukua??
mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.
namalizia kupiga finishing na tyre
ina vumba 3
master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.
stoo na jiko ndani.
ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.
kama upo willing kusubiri . tuwasiliane
kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.
wasalaaaam
Unamalizia kupiga tyre? Hyo nyumna itakuwa inatembea?mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.
namalizia kupiga finishing na tyre
ina vumba 3
master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.
stoo na jiko ndani.
ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.
kama upo willing kusubiri . tuwasiliane
kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.
wasalaaaam
Hebu chungulia 'kupatana.com';nadhani hitaji lako utafanikisha ndani ya dakika chache
CHUMBA SELF/MASTER-NKUHUNGU DODOMA
Chumba master-nkuhungu
Kina tiles,gypsum
Kiko ndani ya fensi
Kodi-100,000/=
Maji+umeme vipo
Unalipa kwa miezi 6
0622111186
source: kupatana
Hii laki moja ni ya chumba au nyumba?mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.
namalizia kupiga finishing na tyre
ina vumba 3
master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.
stoo na jiko ndani.
ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.
kama upo willing kusubiri . tuwasiliane
kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.
wasalaaaam
Kama bado hujapata MTU hebu nicheki PM nikuunganishe na Kijana Mmoja!mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.
namalizia kupiga finishing na tyre
ina vumba 3
master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.
stoo na jiko ndani.
ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.
kama upo willing kusubiri . tuwasiliane
kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.
wasalaaaam
Sijaambulia chochote huko mkuu
Laki Moja? Duh maisha rahisi sana Dommkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.
namalizia kupiga finishing na tyre
ina vumba 3
master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.
stoo na jiko ndani.
ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.
kama upo willing kusubiri . tuwasiliane
kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.
wasalaaaam
Mkuu naomba mawasiliano yako ninashidamkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.
namalizia kupiga finishing na tyre
ina vumba 3
master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.
stoo na jiko ndani.
ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.
kama upo willing kusubiri . tuwasiliane
kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.
wasalaaaam
Bado mkuu nyumba yako unapangisha??mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.
namalizia kupiga finishing na tyre
ina vumba 3
master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.
stoo na jiko ndani.
ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.
kama upo willing kusubiri . tuwasiliane
kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.
wasalaaaam
Hata kuna shida pahala.Laki Moja? Duh maisha rahisi sana Dom
Njoo ujioneee ukiipata hiyo nyumba kwa hadhi hiyo nitakuongezea kodi ya mwaka mzima.Laki Moja? Duh maisha rahisi sana Dom