Habarini wana JF,
Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini, hasa maeneo ya misufini, k/ndege,mawezzni,bigwa itakuwa poa zaidi, kihonda isiwe kupita maghorofani, kiwe na umeme na maji, kikiwa self itakuwa poa zaidi,naomba niPM tafadhali ili tuwasiliane zaidi