We mwenyewe dalali nakujua
Aaah. Sisi wabongo tukitikiswa kidogo tu wepesi kuhama njia, ona huyu nae. Nan kasema kuwa dalali ni dhambi.
kunijua lazima unijue si nam mega yule dada ako aliyekuachia ziwa....
Mambo ni aje wadau?
Aisee nahitaji msaada wenu,natafuta chumba(self) ikiwa na sebure itakuwa poa zaidi. Nahitaji maeneo ya Tabata,Mbezi ya Moro road,hata kibamba. Ninao uwezo wa kulipia miezi sita sita. Madalali changamkieni hii dili,ni PM ukitaja eneo pamoja na price yake.
Pamoja sana.