Nahitaji business partner au IT partner tupige kazi katika maswala ya ICT

mimi20

Member
Jan 16, 2021
14
24
Kwa sasa nipo dar es salaam shughuli zangu ni mtu wa IT ambaye nashughulika na maswala yafuatayo

1.computer training programs

2.computer maintance and repair

3.security systems installations

4.software and hardware installations

5.sales and marketing of the computers and ICT services Plus security services

Hivyo basi kama kuna mtu yupo tiyali tutafutane ili tuzungumze ni namna gani tunaweza kupiga kazi moja

Kwa hapa dar napatikana maeneo ukonga
 
Nafundisha ICT, chuo Fulani level ya VETA , hapa Singida, Kama unahitaji kutanua wingo, mikoani waweza nichek, no angu 0754928622
 
Kwa sasa nipo dar es salaam shughuli zangu ni mtu wa IT ambaye nashughulika na maswala yafuatayo

1.computer training programs

2.computer maintance and repair

3.security systems installations

4.software and hardware installations

5.sales and marketing of the computers and ICT services Plus security services

Hivyo basi kama kuna mtu yupo tiyali tutafutane ili tuzungumze ni namna gani tunaweza kupiga kazi moja

Kwa hapa dar napatikana maeneo ukonga
hapa utahangaika sana, hizi ulizoandika zililipa miaka 10 hadi 15 iliyolipa, kwa sasa hivi jikite kuandika apps zinazo run kwenye android - hasa programs za sales and marketing, pia apps za michezo ya watoto (kantuni network) kwa lugha ya kiswahili, nyingi zipo kwa kiingeleza.
 
Mhh bado wapo Watanzania wengi sana wanazaliwa hawajui na wanahitaji kujua technology hasa vitu hivyo, ni jinsi ya kutengeneza networking yake tu awapate na wanapatikana....
hapa utahangaika sana, hizi ulizoandika zililipa miaka 10 hadi 15 iliyolipa, kwa sasa hivi jikite kuandika apps zinazo run kwenye android - hasa programs za sales and marketing, pia apps za michezo ya watoto (kantuni network) kwa lugha ya kiswahili, nyingi zipo kwa kiingeleza.
 
hapa utahangaika sana, hizi ulizoandika zililipa miaka 10 hadi 15 iliyolipa, kwa sasa hivi jikite kuandika apps zinazo run kwenye android - hasa programs za sales and marketing, pia apps za michezo ya watoto (kantuni network) kwa lugha ya kiswahili, nyingi zipo kwa kiingeleza.
Hapana! hapana! Computer bado sana kwa nchi yetu in uhitaji wa watu wengi sana nafikiri ni kuangalia namna gani ya kupanua wigo wa kufikisha hii elimu kwa watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom