habari zenu, mimi nikijana wa kitanzania nina umri wa miaka 23. Nahitaji binti wa kiislam wa kuwa nae na mungu akijaalia nimuoe. Awe na miaka 20-23 awe asiwe kibonge lakini. Namba yangu 0768325632. Thank you
Mkuu kwa majibu hayo hata kama ulikuwa uko very serious,hakika huyo binti unayemuhitaji umeshampa mashaka na maswali tele ya kujiuliza juu ya uadilifu wako,kama mume mwenyewe mtarajiwa cyber jokes zinamtoa katika mstali ataweza kweli changamoto nzito za maisha ya mahusiano?Yaan hapo kwa waelewa wanakuwa wameshajua rangi yako halisi.