Wakuu, nahitaji mwenye Binoculars nzuri used tufanye biashara. Mimi niko moshi mjini najua wengi mnaodili na watalii hapa moshi na arusha mnaweza kunisaidia. Kama unayo tuwasiliane hapa hapa au pm au whatsap 0755033441.
Ki msisitizo tu wale wanaitwaga WAVETE,
Kwenye movie utawaona weeengii kumbe ki uhalisia hawazidi hata 30, wakifa huku camera ikihamia kwengine wananyanyuka