Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,293 Reaction score 6,903 Jun 11, 2014 #1 Habari zenu wana jukwaa, Mwenzenu nina shida, Betri ya Laptop yangu Dell Studio imekufa, hivyo naomba msaada wa mahali ninapoweza kuinunua, kwa sababu nimehangaika kwenye maduka ya Kariakoo nimekosa. Nisaidieni ndugu yenu. Ova
Habari zenu wana jukwaa, Mwenzenu nina shida, Betri ya Laptop yangu Dell Studio imekufa, hivyo naomba msaada wa mahali ninapoweza kuinunua, kwa sababu nimehangaika kwenye maduka ya Kariakoo nimekosa. Nisaidieni ndugu yenu. Ova