Rose Of Africa
JF-Expert Member
- Apr 27, 2020
- 228
- 96
Mkuu na me naomba kupata njia sahihi ya kujua mabeli mazuri ya mtumbaNicheki pm mkuu,nitakuaguzia from Dubai
Mkuu na me naomba kupata njia sahihi ya kujua mabeli mazuriNicheki pm mkuu,nitakuaguzia from Dubai
sijakuelewa unahitaji msaada upi,njoo unielezee vizuri inboxMkuu na me naomba kupata njia sahihi ya kujua mabeli mazuri
Inbox kufanya nini? uzi unafuatiliwa na wengi,wengine hawachangii na wengine sio member kabisa,weka maarifa hapa kwa manufaa ya wote.sijakuelewa unahitaji msaada upi,njoo unielezee vizuri inbox
Swali lake kama sikumuelewa vizuri ndio maana nikashindwa kumjibu ila ngoja nimjibu kwa kadri ya uwezo wangu.Inbox kufanya nini? uzi unafuatiliwa na wengi,wengine hawachangii na wengine sio member kabisa,weka maarifa hapa kwa manufaa ya wote.