BrazakakaBura
Member
- Feb 16, 2017
- 88
- 104
Amani iwe nanyi[emoji110]️[emoji110]️
nahitaji king'amuzi cha azam hivyo anayeuza au kama unamfahamu anyeuza naomba tuwasiliane niko dar.
Kwasasa bajeti hainiruhusu kununua dukani ndo maana natafuta mtu anayeuza cha kwake[emoji3578]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ya AzamUnahitaji decoder tu aina gani na una bei gani tukuulizie kwa wadau
Sent from my iPhone using JamiiForums
Full unayo ? Weka bei
Kuna jamaa tushauziana alikuja pmUpo wapi mkuu nitumie picha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Upo wapi mkuu, weka mawasilianoMi ninayo,nitafute bos tuongee biashara
Toka nimenunua sijawah kuitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawasiliano siwez weka apa,ni-pm bosUpo wapi mkuu, weka mawasiliano
Sent from my Iphone using Tapatalk
Ninayo bei ni 90000Upo wapi mkuu nitumie picha
Sent from my iPhone using JamiiForums