Nahitaj smartphone,bajet 70000

Kanunue simu ya kichina kariakoo. Hiyo pesa yako ni ndogo sana.
 
Chukua bb curve 8520

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
nipigie nikupe pocket hiyo 0878 408180 dar-posta ila kwa hela hiyo nakupa simu na chaja tuu
..ukiongeza kumi nakupa na cable na earphone
 
tafuta itel new model inauzwa 50,000/= tu inasapoti kila kitu na ipo fast kama rocket!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…