Uzi huo uliletwa hapa na nandugu yetu Dr wansegamilaKuna uzi uliletwa humu kama sikosei ilikuwa tarehe 22 February uliosema kuwa fursa yakujipatia pikipiki mpya kwaajili yakufanyia kazi kutoka kwawaziri waviwanda nauwekezaji Ndugu Charles mwijage napakawa naemail yake, mimi nikafanya kama kumtumia email yakuhitaji hiyo pikipiki nikajieleza vizuri ilikuwa tarehe 23 hiyo mwezi wapili najana tarehe 7 mwezi huu wa3 kanijibu kuwa nimejishindia pikipiki naakawa kanipa email nyingine kwaajili yakuwasiliana nahuyo anayesimamia kuzitoa hizo pikipiki nakwel hiyohiyo jana nikamtafuta huyo muhusika naleo hii ndio kanijibu kuwa ameweza kuthibitisha kuwa mimi nimiongoni mwawashindi naameniambia nitume picha yakitambulisho changu chataifa, majina kamili pamoja nasehemu nilipo ila kilichonistua nikuniambia kuwa nitume nashilingi laki moja kwaajili yalogbook pamoja na plate namba, nanamba ya akaunt amenipa jina labenk ni bank of Africa
Sasa jamani nauliza hivi siwezi kupigwa hapo nakama kuna anayefahamu basi anaweza nielewesha hapo
Si akuelekeze ofisi ilipo uende huko na kama ni plate namba utasajiri mwenyeweKuna uzi uliletwa humu kama sikosei ilikuwa tarehe 22 February uliosema kuwa fursa yakujipatia pikipiki mpya kwaajili yakufanyia kazi kutoka kwawaziri waviwanda nauwekezaji Ndugu Charles mwijage napakawa naemail yake.
Mimi nikafanya kama kumtumia email yakuhitaji hiyo pikipiki nikajieleza vizuri ilikuwa tarehe 23 hiyo mwezi wapili najana tarehe 7 mwezi huu wa3 kanijibu kuwa nimejishindia pikipiki naakawa kanipa email nyingine kwaajili yakuwasiliana nahuyo anayesimamia kuzitoa hizo pikipiki nakwel hiyohiyo jana nikamtafuta huyo muhusika naleo hii ndio kanijibu kuwa ameweza kuthibitisha kuwa mimi nimiongoni mwawashindi naameniambia nitume picha yakitambulisho changu cha taifa.
Majina kamili pamoja nasehemu nilipo ila kilichonistua nikuniambia kuwa nitume nashilingi laki moja kwaajili yalogbook pamoja na plate namba, nanamba ya akaunt amenipa jina labenk ni bank of Africa
Sasa jamani nauliza hivi siwezi kupigwa hapo nakama kuna anayefahamu basi anaweza nielewesha hapo
Nakushauri usitume hela wa la Id yako. +255 ni TanzaniaHaswaa ndio inatakiwa iwe hivyo nashangaa kanitumia nanamba sijui ya nchi gani +255702138753
Kenya hiyoSory nilikosea ni +254702138735, kutuma pesa siwez mkuu nahii niyanchi gani
Mwambie akupe break kabisaDah aisee situmi eti kaniambia ndio nimtumie huyo yupo Kenya kiserikali nandio mweka hazina wao eti dah
mkuu umeshindwa kabisa kuitrace ile page imekaa kimamluki kabsa ukiangalia hata history yake ilivyo imekaa kitapeli yaani mwenye ile page kaja kuzinduka 2018 na lile tangazo 2017 ilikuwa haitumiwi kabsaDah aisee situmi eti kaniambia ndio nimtumie huyo yupo Kenya kiserikali nandio mweka hazina wao eti dah
Ukiona kitu kinapatikana kwa njia rahisi sana, tena kutoka kwa mtu baki, rudi nyuma mita kadhaa kisha geuka upotee.
Hilo haliondoi ukweli kuwa hata risk zake zipo juu sana.Mbona ikitokea zali la demu mkali hatupotei, ila tunaganda tuuuuu?
Mtu anakutana nae dakika hiyo,
Anatongoza dakika hiyo,
Anakubaliwa dakika hiyo,
Anakula mzigo dakika hiyo,
Tena bila hata kikanga