H hamidshaban JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 262 Reaction score 32 Apr 5, 2012 #1 Kwamba mahakama itatengua matokeo Segerea ili kampen ziende sambamba na Arusha ili kugawa nguvu ya CDM tujiandae kwa lolote.!.
Kwamba mahakama itatengua matokeo Segerea ili kampen ziende sambamba na Arusha ili kugawa nguvu ya CDM tujiandae kwa lolote.!.
Bei Mbaya JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 2,262 Reaction score 857 Apr 5, 2012 #2 hilo lipo wazi mkuu,kuna info nitakuja nazo soon kuna mambo yameanza kufanywa na ccm huko jimbo la Segerea kuashiria uchaguzi upo karibu
hilo lipo wazi mkuu,kuna info nitakuja nazo soon kuna mambo yameanza kufanywa na ccm huko jimbo la Segerea kuashiria uchaguzi upo karibu
Gagurito JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 5,600 Reaction score 811 Apr 5, 2012 #3 hamidshaban said: Kwamba mahakama itatengua matokeo Segerea ili kampen ziende sambamba na Arusha ili kugawa nguvu ya CDM tujiandae kwa lolote.!. Click to expand... Mkuu nakuunga mkono juu ya hili! dalili ziliishaanza kuonekana katika uchaguzi Arumeru mashariki. Tundu lisu na John Mnyika hawakupata muda wakutosha kushiriki coz walibanwa na kesi zao za uchanguzi majimboni mwao. viongozi chadema kuweni makini!
hamidshaban said: Kwamba mahakama itatengua matokeo Segerea ili kampen ziende sambamba na Arusha ili kugawa nguvu ya CDM tujiandae kwa lolote.!. Click to expand... Mkuu nakuunga mkono juu ya hili! dalili ziliishaanza kuonekana katika uchaguzi Arumeru mashariki. Tundu lisu na John Mnyika hawakupata muda wakutosha kushiriki coz walibanwa na kesi zao za uchanguzi majimboni mwao. viongozi chadema kuweni makini!