Habarini wanajamvi
Haiwezekani toka mbs 2600 mpaka mbs 1300 na. Hawa haloteli wamezidi sasa.
Jana nimeangalia salio la mbs, zilikuoemo 156 ile nacancel tu, nikatumia ujumbe wa salio la mbs 5, hazikupita hata sekunde 30 nikaambiwa sina mbs. Hawa jamaa wamekuwa wahuni kuliko wale tuliowazoea.
Sasa nimeamua kuhamia tigo.
Wale watumiaji wa mtandao huu naomba maelekezo ya manu za vifurushi na kifurushi kipi kinazo mbs za kutosha, maana mie ndo kilevi changu.
Ahsanteni
Hamia vodaHabarini wanajamvi

Hii speed wanayotumia kufidia sio rafiki kabisaa.Halotel sifa zimewazidi, sasa wanarudisha gharama zao za awali za kupenya kwenye soko, awali halotel wakati wanaingia sokoni kila kitu kilikuwa nafuu sasa bidhaa zao zimepanda bei vifurushi ndiyo usiseme na uwizi wa mb wa wazi kabisa, kwa ufupi wanafidia, mimi niliwahama muda tu