Nafuta mchumba wa kike

Gundagun

Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
10
Reaction score
1
Natafuta mchumba wa kike mkristu aliye dodoma baadae mke kuanzia miaka 18-26 cjali elimu lkn awe na akili timamu

anitafute pm
 
Mbali na ueni unaonekanaa mshamba flan, yan kuja nakuja watafuta mke, uyo alokwambia mwambie aukufundishe hali ilivyo kwanza
 
hv watu wa dizain hii bado wapo tz hii ?
 
tafuta ela sio mke nyambafu wee uko uliko hakuna wanawake shwaini kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…