Ungeweka namba yako hapa. Huko PM wengine hatutaki kufahamianaGuys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina,
Nafuu sana ndo nini? weka bei na no ya simu hayo ndo matangazo ya biashara.Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina,
mi nnayo ya kichogo,kama inawezekana inbox
Kwa kompyuta au ?
Uko wapi ?
Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina,
Hahaaa hapa hamna fundi