Mkuu huo msaada wa ellimu unaotaka akiupata yeyote anatengeneza.Wana jamvi nimekuwa mfuatiliaji sana wa moderm war apparatus! nikawa mdadisi khs MISSILE! nadhani nikipata msaada wa elimu ya KOMPYUTA (SOFTWARE) na UTENGENEZAJI VICHWA VYA SILAHA (WARHEAD) kwa technology bora.
Tunaweza kuwa na missile kama B-40 na AIR DEFENCE SYSTEM kama BUK MISSILE ya urusi....
strong ARMY for strong TANZANIA...
Hii Post imekaa miaka 5 bila kupata hata mchangiaji mmoja.inaonesha kwamba aina ya taifa na watu tulio nao wana tatizo kubwa sana.Umefikia hatua gani?
Au ulikuwa na dreams and not plans.
Tena kubwa sanaaa. Ni ya aina ya watu ambao tayari wamejidharau kukubwa sana na kuamini hawawezi.Hii Post imekaa miaka 5 bila kupata hata mchangiaji mmoja.inaonesha kwamba aina ya taifa na watu tulio nao wana tatizo kubwa sana.
Mbona hata wewe leo ndio umechangia hii thd? Hata wewe ni sehemu ya tatizo pia kama umeona watu kutochangia ni tatizo,Hii Post imekaa miaka 5 bila kupata hata mchangiaji mmoja.inaonesha kwamba aina ya taifa na watu tulio nao wana tatizo kubwa sana.
Uko sahihi mkuu,sisi wote ni sehemu ya tatizoMbona hata wewe leo ndio umechangia hii thd? Hata wewe ni sehemu ya tatizo pia kama umeona watu kutochangia ni tatizo,
Mabadiliko yanaanza na wewe.
Acha kumkatisha tamaa mwenzio na uwezo wako mdogo wa kufikiri! kwani huko Urusi si ni binadamu wa kawaida ndie alitengeneza!!!?Acha utani ndugu yani uweze kutengeneza Buk missile ya Warusi, ima maana wew una akili nyingi sana kushinda mataifa yanayonunua izo missile kutoka kwa Warusi.
Ila pamoja na yote hayo nakutakia kila la kheri uweze kufanikisha malengo yako hayo
nilitegemea kukutana na hii commentAcha utani ndugu yani uweze kutengeneza Buk missile ya Warusi, ima maana wew una akili nyingi sana kushinda mataifa yanayonunua izo missile kutoka kwa Warusi.
Ila pamoja na yote hayo nakutakia kila la kheri uweze kufanikisha malengo yako hayo
Mtu anatumia muda, akili na nguvu kumkatisha mwenzake tamaa... sisi ndio wana wa Africa
Hahaha hii ndio Bongo kakaMkuu hi Tabia ya wabongo nomaa sana ,yaani mtu hujalala usiku mzima kwa kufanya project's zako kwaku usiku ndo mda akili imetulia, Anakuja mtu saa 1mlango kukugongea akihisi kaamka mapema basi anakuita kwa dharau" hivi kwanini huwa unapenda kulala Hadi saa hizi...