Bilashaka mnaendelea vizuri wanajamii forumn !! Niende kwenye mada!! Binafsi hua Nina ndoto ya kutengeneza ndege lakini hua sijaifanyia kazi,sasa baada ya yule kijana wa tunduma kutengeneza helikopta ni kama amenichochea ile ndoto yangu kwa sababu tangia nipo form six nilikua nikijifunza masuala ya ndege,sehemu zake na jinsi zinavyofanya kazi!!
Sasa naomba msaada wenu mimi nimtaalamu wa masomo ya physics na mathematics na nimejaribu kufanya research how to build ultralight aircraft at home ,nimetumia mda mwingi sana ili nitakapoanza kutengeneza basi nihakikishe ndege ina take off Sio kama wa tunduma japo alijaribu!
Mimi ni mtumishi wa serikali!!
Soon utafungwa wewe!!Jamani mie nimeanza kutengeneza bunduki, nilianza tangu mwaka 2009 kwa kuandaa mchoro but now nimeanza kuunga pole pole but nahisi itakua na mlio mkubwa sana maana nimekosa utaalamu wa kupoza mlio, tayari nimeanza kushughulikia Kibali na nimeshafikia hatua nzuri na mchoro nilipeleka kunakohusika. Nategemea miaka 3-5 ntakua nimekamilisha wakuu. Ni bunduki nzuri sana na itakua na uzito wa around 5.8kgs ukiwa full magazine (risasi 19x2=38)
Ndio maana nataka kutumia vibali mkuu, as soon nikikamilisha naanza kuunga maana mchoro upo tayari na isitoshe ntakua nafanyia kazi hii sehemu salama! Sifanyi kihuni mkuu.Soon utafungwa wewe!!