C Chagga King JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,929 Reaction score 1,172 Dec 7, 2014 #1 wakuu habari za mida hii, naomba kwa mwenye kumbukumbu vizuri, anikumbushe zile nafasi za kazi zilizotolewa nadhani mweni may au june, zilikuwa ni za positions gani?. asanteni.
wakuu habari za mida hii, naomba kwa mwenye kumbukumbu vizuri, anikumbushe zile nafasi za kazi zilizotolewa nadhani mweni may au june, zilikuwa ni za positions gani?. asanteni.
C Chagga King JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,929 Reaction score 1,172 Dec 7, 2014 Thread starter #2 na kwa aliyetumiwa email na aniambie vitu vya kwenda navyo pia, au kama anaweza ni attachia hapa, itakuwa poa zaidi
na kwa aliyetumiwa email na aniambie vitu vya kwenda navyo pia, au kama anaweza ni attachia hapa, itakuwa poa zaidi
momo05 Member Joined Jul 28, 2014 Posts 21 Reaction score 6 Dec 8, 2014 #3 bring with you the following 1.this invitation letter 2.identity card 3.original academic certificates 4.birth certificate 5.three(3) similar recently taken passport size photographs 6.a pen and calculator
bring with you the following 1.this invitation letter 2.identity card 3.original academic certificates 4.birth certificate 5.three(3) similar recently taken passport size photographs 6.a pen and calculator
C Chagga King JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,929 Reaction score 1,172 Dec 8, 2014 Thread starter #4 asante mkuu, ingawa sijatumiwa email, so hiyo barua sina.
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,872 Reaction score 4,604 Dec 8, 2014 #5 Chagga King said: asante mkuu, ingawa sijatumiwa email, so hiyo barua sina. Click to expand... Sio peke yako mkuu, lakini wadau wanashauri tufike pale mapema watupe muongozo au ofisi kwao kabla ya ijumaa! Ukipata ufumbuzi share nasi mkuu!
Chagga King said: asante mkuu, ingawa sijatumiwa email, so hiyo barua sina. Click to expand... Sio peke yako mkuu, lakini wadau wanashauri tufike pale mapema watupe muongozo au ofisi kwao kabla ya ijumaa! Ukipata ufumbuzi share nasi mkuu!