Jamani nacte washafunga zoezi la udahili kwa kozi za afya diploma na certificate kwa muhula wa mwezi April ila unaweza kuomba chuoni moja kwa moja wanakuingiza kupitia institutional panel waweza pitia nimeona Tandabui wanafanya hivyo na vyuo vingine

Ukiingia kwenye website ya nacte utaona kunasehemu imeandikwa institutional panel hapo ndi vyuo vinapowaingiza wanafunzi waloomba moja kwa moja vyuoni kwenye system ya nacte na inasaidia uhakika wa kupata nafasi ya kusoma