jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,866
- 10,163
hujasoma kasema hrDiploma ya nini?
ngoja nimsaidie mana na yeye sijuh kadata hr means ana diploma in human resource management...Hr?
Ndio nilichokiuliza
Poa.ngoja nimsaidie mana na yeye sijuh kadata hr means ana diploma in human resource management...
ahaaa afisa muajiri on air..Poa.
Kuleta habari bila kuwa muwazi ilihali unataka msaada sijui anategemea nini
wakuu nna diploma ya human resource managementKuwa muwazi kwa kile ambacho umekisomea acha kuandika kwa kifupi course ambayo umesomea
wadau kama kinavyojieleza kichwa cha habari hapo juu mim ni kijana umri miaka 24,elimu diploma ya hr,nilikuwa naomba kujuzwa makampuni yenye nafasi za kujitolea kama temple niweze kufanya kazi huko au kama unayo unaweza kuni pm au kuwasiliana na mm 0659756647
maana kukaa home kiwango kinashuka