Habari wana JF?
Jana asubuhi nilikuwa napita mitaa ya Ubungo kuna jamaa alikuwa anabandika matangazo ya kazi akanipatia nakala moja ambayo imeandikwa hivi:
KAZI KAZI
410,000/=
NA KWA SIKU UTALIPWA
UMRI: 18 - 29
UFAFANUZI
PIGA:
O782-156727
0656-111800
0654-809461
0753-809661
0719-618423
0715-746962
USIBEEP WALA KUTUMA SMS HAZITAJIBIWA.
Wadau hawa jamaa wako serious? au makanjanja watakaowapigia watupe majibu.
Kama ni kuuza mabeseni hamna haja ya kwenda maanake hao wauzaji wa hizo bidhaa wengi hawajatoka kimaisha zaidi ya kukonda na kupoteza afya.
Mtaliwa hizo 2000 zenu halafu mnaachwa soremba!!!
Kazi nzuri zipo nyingi, tatizo watu hawana access ya uhakika.
Kuna hii android app, ukiwa nayo ni rahisi kupata latest jobs update in Tanzania.
Ingia playstore then search GRABJOB au tumia browser ya simu yako kufungua link hii https://play.google.com/store/apps/details?id=com.grabcityinfo.grabjob
Ukishindwa ni PM nikupe details
mkuu .. tatizo ni kuwa kazi nyingi wanahitaji wenye ujuzi wa kuanzia miaka na kuendelea ....