Nafasi za kazi

Itakuwa ya kutembeza vyombo vya nyumbani au kuuza sabuni na dawa za meno za promosheni!
 
Aiseee mm nimeshatuma cv tayar but nimejaribu kuichek kwenye mtandao hii kampuni cjaona chochote aisee tujuze inahusika na nini hasa
 
 
 
ni kweli kabisaa kama haisemwi ni ya kutembeza sabuni au kuuza vyombo, hivyo jua na wewe wewe jua na maranyingi huwa hawasemi ukifika pale ndo wanaanza mara oo tutakusomesha kiukweli inauzi, mweka tangazo jaribu kuweka ni aina ya kazi gani mwombaji anaenda kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…