Kaunga weka wazi Job Description isije ukawabebesha wenzako madeli ya icecream bora wajue mapema kuliko waende internet cafe watoa buku buku zao.
Ziko tofauti tofauti.
Hii inawahusu sana wale wanaosema wanatafuta kazi yoyote iliyo halali.
Ziko tofauti tofauti.
Hii inawahusu sana wale wanaosema wanatafuta kazi yoyote iliyo halali.
Umemaliza kidato cha nne na huna cha kufanya?
Ni kijana mwenye miaka 20 hadi 40?
Unakaa Dar es Salaam au una mpango wa kuhamia hivi punde?
Njoo ukue pamoja na kampuni inayokua kwa kasi AYSY Growth Enterprises.
Wana nafasi 7 za vijana wa kiume na 8 za wanawake.
Andika email kuelezea wasifu wako tuma kwenda kwa
glorytarimo@hotmail.com
Au piga simu kwa maelezo zaidi 0682 191 596
Deadline ni 20 February 2015
Wape basi wewe white collar job?
Muache dharau mmeokoa sh ngapi za usafiri na muda kwa kununua vyombo kwa wanaobeba mtaani?
Tuma cv yako kwa glorytarimo@hotmail.com[/QUOT
Mm nina hard copy, ndo maana nkasema unielekeze nije moja kwa moja na vyeti vyangu pamoja na cv
Tuma cv yako kwa glorytarimo@hotmail.com