Unyonyaji mwingine wa mkoloni mweusi huu.NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA
Taasisi ya fedha ya Mikopo Finance Limited iliyopo Dar es Salaam inatangaza nafasi za kazi za kujitolea katika nafasi Ifuatayo; 0 [FONT=&qu77ot] [/FONT] 3Ofisa wa kukusanya madeni (Recovery Officer)-Nafasi tatu (3) Kazi kuu ya Afisa itakuwa kumsaidia Afisa mikopo kukusanya marejesho ya mikopo kutoka kwa wadaiwa wetu. Maombi yatumwe katika email Ifuatayo; hr@mikopofinance.co.tz
MIKOPO FINANCE LIMITED
P.O.BOX 15297
DAR ES SALAAM
www.mikopofinance.co.tz
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12/02/2015
Unyonyaji mwingine wa mkoloni mweusi huu.
NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA
Taasisi ya fedha ya Mikopo Finance Limited iliyopo Dar es Salaam inatangaza nafasi za kazi za kujitolea katika nafasi Ifuatayo; Ofisa wa kukusanya madeni (Recovery Officer)-Nafasi tatu (3) Kazi kuu ya Afisa itakuwa kumsaidia Afisa mikopo kukusanya marejesho ya mikopo kutoka kwa wadaiwa wetu. Maombi yatumwe katika email Ifuatayo; hr@mikopofinance.co.tz
MIKOPO FINANCE LIMITED
P.O.BOX 15297
DAR ES SALAAM
www.mikopofinance.co.tz
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12/02/2015
labda ndio kipimo cha uvumilivu, ukiweza jamaa anakupa permanent and pensionable