kiipwi Member Joined Apr 30, 2013 Posts 66 Reaction score 22 Jan 1, 2014 #1 Wawekezaji wazalendo wanawahitaji college graduate kwa nafasi za kazi. Kwa maelezo zaidi tembelea face book page yetu ya BAEZ ENTERPRISES.
Wawekezaji wazalendo wanawahitaji college graduate kwa nafasi za kazi. Kwa maelezo zaidi tembelea face book page yetu ya BAEZ ENTERPRISES.
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,769 Jan 1, 2014 #2 Nafasi zipi hizo ndugu? Mimi siko facebook
sylvesterwille Senior Member Joined Nov 29, 2013 Posts 172 Reaction score 41 Jan 1, 2014 #3 Mimwnyw nahtaj ila niko viber sa cjui takuaje
N Ngaramtoni JF-Expert Member Joined Sep 10, 2012 Posts 431 Reaction score 61 Jan 1, 2014 #4 ana nia ya kuziangusha campuni za nyumbani,si angeweka kila kitu hapa kuliko kuwasaidia fb kupata wateja
ana nia ya kuziangusha campuni za nyumbani,si angeweka kila kitu hapa kuliko kuwasaidia fb kupata wateja
R regina shayo Member Joined Dec 4, 2012 Posts 11 Reaction score 2 Jan 1, 2014 #5 duu hyo si kutembeza vyombo jamani?
S Sadru Samanta Member Joined Dec 31, 2013 Posts 49 Reaction score 5 Jan 1, 2014 #6 Kwanini tutembelee fb wakati ulikuwa na uwezovwa ku post kila kitu hapa? napata shaka na hizo kazi..
mbota JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,072 Reaction score 641 Jan 1, 2014 #7 Haina haja ya kuja ku post kitu ambacho hakijakamilika kama ni fb Huko Huko maana ungeweka Hata link kama upo serious Hata kidogo unadhani kila mtu Ana fb account. .... think twice before u post anything here
Haina haja ya kuja ku post kitu ambacho hakijakamilika kama ni fb Huko Huko maana ungeweka Hata link kama upo serious Hata kidogo unadhani kila mtu Ana fb account. .... think twice before u post anything here
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,154 Reaction score 447 Jan 1, 2014 #8 napita
B babras Member Joined Nov 25, 2013 Posts 30 Reaction score 4 Jan 1, 2014 #9 hapo nikutembeza sabuni na bidhaa mbalimbli tu
pclarence60 Member Joined Jan 17, 2012 Posts 16 Reaction score 2 Jan 1, 2014 #10 Ni ukweli sio kilamtu ana account fb...bac mkuu kama vp ungetupia izo nafasi humu.
boyfriendy JF-Expert Member Joined Sep 9, 2012 Posts 1,988 Reaction score 1,034 Jan 1, 2014 #11 Khaaaa tutembelee fb tena hahahahaa nishazijua hizi ndio za kutembeza sabuni za promotion
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,728 Reaction score 4,415 Jan 1, 2014 #13 fb a.k.a kiuzio sura! hakuna jpya huko,hzo kazi wape watoto wa mama! mi mgumu nakoma na J.F