CvPEOPLE AFRICA TANZANIA
Member
- Aug 17, 2016
- 73
- 39
Sasa mnawatafutia watu kaz au inakuaje hii cv people tueleweshe kidogo kwa tusiojuaTuna nafasi mpya za kazi, tembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi. Tovuti yetu ni CVPeople africa, kisha bonyeza tanzaniajobs angalia kazi uliyo na vigezo nayo kisha APPLY
CVPEOPLE AFRICA TANZANIA NI WAKALA NAMBARI MOJA WA AJIRA AFRICA NZIMA. IKIWA NA UMRI ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI. NI WAKATI WAKO SASA KUJISAJILI NASI BURE KUPITIA TOVUTI YETU .NA KUWEZA KUCHAGUA AJIRA UIPENDAYO. CVPEOPLE AFRICA HAITOZI JOBSEEKER GHARAMA YOYOTE. EPUKA MATAPELI.
Sisi tunawatafutia kampuni wafanyakazi. yaani wakala wa ajira. Kampuni hutupa kazi kisha sisi tunakwenda kutafuta wafanyakazi watakaofaa kwa nafasi tuliyopewa. Utaitwa kwenye interview ya kwanza hii ni kwetu, kisha ukipita wapelekwa kwa mwajiri kwa ajili ya interview ya pili. Na baada ya hapo mwajiri akikuchukua kampuni hiyo italipia gharama za huduma. IKUMBUKWE WEWE KAMA UNAYETAFUTA AJIRA HUTATOZWA GHARAMA YOYOTE.Sasa mnawatafutia watu kaz au inakuaje hii cv people tueleweshe kidogo kwa tusiojua
Ndio tuna app. lakini ni Android supported. Ila ni vizuri zaidi pia lkutembelea tovuti yetu ya CvPeople Africa kwa maelezo zaidi.Haina app?
Sasa mfano mimi dereva nafaa kutafutiwa kazi? Na vigezo vpoje. Ofisi zenu zipo wap?Sisi tunawatafutia kampuni wafanyakazi. yaani wakala wa ajira. Kampuni hutupa kazi kisha sisi tunakwenda kutafuta wafanyakazi watakaofaa kwa nafasi tuliyopewa. Utaitwa kwenye interview ya kwanza hii ni kwetu, kisha ukipita wapelekwa kwa mwajiri kwa ajili ya interview ya pili. Na baada ya hapo mwajiri akikuchukua kampuni hiyo italipia gharama za huduma. IKUMBUKWE WEWE KAMA UNAYETAFUTA AJIRA HUTATOZWA GHARAMA YOYOTE.
Sisi sio matapeli naomba ieeweke hivyo. Na utofauti wetu na zoom Tanzania ni hivi. Zoom Tanzania ni job portal kule kila kampuni ama mtu huweza kutuma nafasi mbali mbali za kazi walizonazo. Lakini sisi ni recruitment agency kampuni inayojitegemea. waweza kupitia website yetu kwa maelezo zaidi. au fika katika ofisi zetu ili uweze kutuelewa vyema, Una haki ya kuwa na wasiwasi. karibu tutakufa taarifa kamili.Matapeli nyie.... Nyie na ZoomTanzania hamna tofauti
wasiliana nasi kupitia 0758 961961. Nafasi zote za kazi huwekwa katika website yetu.Sasa mfano mimi dereva nafaa kutafutiwa kazi? Na vigezo vpoje. Ofisi zenu zipo wap?
Ok kiongoz ahsante kwa maelekezowasiliana nasi kupitia 0758 961961. Nafasi zote za kazi huwekwa katika website yetu.
Kwa sasa nafasi za udereva hatuna, ila huwa zinatokea mara kwa mara. Tafadhali jisajili kisha tembelea tovuti yetu mara kwa ili kuweza kuangalia.Sasa mfano mimi dereva nafaa kutafutiwa kazi? Na vigezo vpoje. Ofisi zenu zipo wap?