Nafasi za kazi VETA

MTOTO YATIMA

Senior Member
Joined
Jul 1, 2012
Posts
147
Reaction score
58
Naomba kuuliza kuna yeyeote mwenye habari kuhusu kuitwa kwenye interview kwa nafsi zilizo tajwa hivi majuzi
 
Wameomba wengi sana wanafikiria jinsi kuwachuja kwanza ili waweze kuwafanyia usaili
 
Subiri tu mambo bado,ndo kwanza tunachambua barua
 
Una uzoefu wa Miaka 3? Sio kwa Kiswahili hicho!
 
Interview itakuwa ya kuandika kwa usahihi sentensi zenye maneno yanayoishia na li na ri.... Kwailo utakuwa ushafeli
 
Daa hata mm niliomba wakuu. Kama kuna updates basi tupeane taarifa
 
Interview itakuwa ya kuandika kwa usahihi sentensi zenye maneno yanayoishia na li na ri.... Kwailo utakuwa ushafeli
Sijaomba kufundisha Kiswahili fani yangu na kiswahli ni mbari kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…