Tusikate tamaa wakuu kwa haya makwazo tuyapitiayo watoto wa wakulima tusiokuwa na wajomba,mashangazi n.k humo ktk hii mifuko ya jamii pindi tuombapo ajira.
Tusipoomba ndio itakuwa rahisi sana kwa wao kuwekana kiulani. Mana mwisho wa siku watakuwa wenyewe tu walioomba.
Aluta Kontinua #mpaka kieleweke..
Nilihudhuria interview fulani hivi wiki moja unusu iliyopita. Mmoja wa interviewee aliletwa na gari la shirika hilo hilo tunalokwenda kufanyiwa interview!!
Mbaya zaidi humo humo ndo walibeba papers za written interview ambazo tungefanya dakika chache zilizofuata coz walikodi ukumbi mbali kidogo na ofisi zao! Mi nilipoona yule interviewee (mwanzoni nilijua staff mwenzao) anakuja kufanya ile paper nikajua hapa hamna kitu, anasindikizwa mtu tu hapa!!
Hii nchi haina maana kabisa kwa sasa
Ha ha unaweza ukaanza kulia, cha muhimu ungekaa nae uangalizie majibu mkuu
Majibu yasingemsaidia chochote mkuu kama vacancy yenyewe ni moja na mmoja mwenyewe keshaonekana hahaha!
Duuh kweli nomaa, ukiwa kidume huna refa, huna hela ya kuhonga andika maumivu, afadhali mademu japo life yao inakuwa at risk
Ndo tujifunze sasa ambao hatuna connections tukibahatika kuingia humo tutengeneze mazingira mazuri kwa vizazi vyetu manake nnaimani hata hawa wanaoneemeka sasahivi ni kutokana na sustainable stategies za wazee wao ambao wengine hata hawapo duniani lkn connections zinaendelea kuishi.
nipm nkutumie salary slip,TRA siku hizi hakuna kitu mkuu,kwenye mambo ni NSSF,SUMATRA lakini siyo TRA
Ni noma mkuu mim sintokaa niombe tena kwenye hii mifuko wacha niendelee kupiga chaki tu,vp sumtra ilikuaje?
Hiyo salary slip unayotaka kumtumia ni yako au?
ya wife
Punguza mbwembwe kijana!!!
Hutaki mdogo wangu?!!