Nafasi za kazi TRA

Safi sana mkuu,mungu akubariki sana kwa kutumwagia taarifa!
 
Ahsante kwa updates mkuu. Mimi nina vigezo naomba Mungu nisipigwe panga angalau nikafanye hiyo interview ya halaiki.
 
kituo cha kazi ni wapi maana isije ikatibua michongo niliyonayo.
 
Yale maneno ya mwisho matatu huyu GEKA amenifurahisha sana maana amemanisha kweli,Uko wapi mzee tuwasiliane mi niko Mwanza
 
...waliushaita watu for interviews muda mrefu. Na juzi walikuwa wanafanya interview ya mwisho (written paper - interview)
 
Dead line c oni
 
Mkuu kama unataarifa za kutosha ziweke hapa zifanyiwe kazi, tumeshachoka na kamleteni, ndio maana nchi ilijawa na ubabaishaji wa kupita kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…