Nafasi za kazi TRA

Tatizo sio kuziona jamani issue ni izo criteria . Dahaaaaaaaa ni noma yani bongo si mchezo ila nataka nijilushe ivyoivyo tu
 
Nafasi nyingine ya kujaribu bahati.But hivi vigezo kzi ipo
 
Tra kazi moja 2,000,000 kama wewe sio mtei,kimaro,mrema,mmary,chamy,mramba,mtui................naona wachaga tu huko sielewi nci inakoenda
 

Thankx 4 good news, ubarikiwe na wewe upate nafasi moja
 
Wizi mtupu.....tuliomaliza kabla ya 2011...tuwe na post graduate? hela ya kusomea walitupa wao...pambaf kabisa au ndo mkakati wa kuwaingiza watoto wao bila mushkeli...duh hiki kigezo ndo nakiona leo kwa hawa jamaa wa TRA nyambaf:lol:..nyambaf:yawn:...nyambaf x 10000000:yawn:
 
Tra kazi moja 2,000,000 kama wewe sio mtei,kimaro,mrema,mmary,chamy,mramba,mtui................naona wachaga tu huko sielewi nci inakoenda

hii imekaa vipi kaka? unantisha!!
 
TZ zaidi ya uijuavyo! Tulomaliza before '11 imekula kwetu. Amakweli sie ndo yale mabomu alosema EL

lengo hapo ni kuajiri vijana ambao ni fresh from school kwa sababu kadhaa:

moja-they are cheap,

mbili-hawajajifunza wizi(kama ni wizi wakafundishwe na wazazi na ndugu zao huko TRA)

tatu-vijana ambao wanaweza kukaa hapo kwa muda tofauti na makurumbembe ambayo yameshafanya kazi sehemu kibao, unamuajiri mwezi huu na ndani ya miezi sita anaondoka, its expensive kuendesha zoezi la kuajiri kila mara.
 
Vp addres yao mbona sijaiona? Plz, tusaidieni addres za kutuma barua zetu ili tuweze kujaribu bahati zetu.
 
Mheshimiwa uko juu.
Uko juu kwa kuwataarifu watu kazi. Life noma.
 
:lol::lol:HATA WAKIWEKA VIGEZO GANI, WENYE NAVYO WAPO. ILA TATIZO NI KUWABAGUA WATU KWA UMRI, MWAKA WA KUMALIZA MASOMO (WANAOSOMA WAKIWA WATU WAZIMA WAACHE- TRA HAIWATAKI), ZAIDI NI GPA. WALIOHUSIKA KUANDAA VIGEZO NA KUTOA TANGAZO HAWANA GPA YENYEWE. MAOFISA WA MUDA MREFU HATA DEGREE HAWANA. AMA KWELI,
KAMA KIGEZO CHA KUPANDA KWA ELIMU TZ NI IDADI YA WAHITIMU TU, ILA KIGEZO CHA WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI KITAALAMU NI WENYE GPA KALI TU HAPA TZ. KAZANA TRA, WEZI WA KODI NI WENYE GPA KALI. MIMI NINAYO-ILA SIKO TRA, AMBAO MMBANWA MSIMIND, PIGANA NA ISSUE ZINGINE. HA HA HA TRA HAWAJAWAHI KUOMBA CPA (T), MAANA ZAIDI YA WAOFISA 98% WA TRA HAWANA, HIVYO WANAJITIA HAWAIJUI UBORA WAKE.:lol:
 

kimemo lazima kama huna kimemo bora uzikaushie tu
 
kimemo lazima kama huna kimemo bora uzikaushie tu

siyo kweli jamni mnayoyasema, mi leo ndo nimeamini kuwa wanaopata tra si wote wenye vimemo! majina ya tax officer yametoka ya waliofanya interview november, kuna watu zaidi ya watano ninaowajua wamepata na hawana mtu wanaye mjua pale hata mmoja! ila ninachokijua, washikaji ni wazuri sana darasani! so kama tuache lawama ambazo hazina msingi. watu mnataka kila kitu kiwe chenu, akipata mwenzio ndo unasema wanachakachua! every item has an equal chance to be selected bana!
 
Mimi naudhika hapo tu, hii habari ya kuchukua wale wenye kumaliza shule ivi karibuni! na sio kwamba wanachukuliwa wanasumbua tu na kupoteza nauli zao! ukiwa huna uzoefu wakunyanyase huna uzoefu, tumepata uzoefu sasa inakuwa waliomaliza shule jana. yaani nina hasira nao hawa wezi! x!"£$$
 
kazi za wa kaskazini hizo, haya, zamu yenu imefika!
 
pole sana mkuu
 

vigezo vya kazi zilizopita ilikua ni upper second ndio minimum sasa mimi kuna watu wanapass waliitwa interview hapo vp?nikweli wapo ambao wana pita kwa clean shit zao lakini ni asilimia 10 katika mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…