Ntangilege
Member
- Aug 4, 2013
- 25
- 3
qualification walitaka degree au advanced diploma mm nina diploma tuu na hiyo degree ndo ipo on progressminimum qualification za post uliyo omba ni zipi??
kama walitaka degree /advance diploma watakukata tu..progressive report sio stand..
ok asante mkuu kwa ushauriwe nenda kajaribu bahati yako. kama wamekuita ina maana wameridhika na wewe. usikatishwe tamaaa. kajaribu bahati yako. kila LA kheri
asante mkuu kwakunifungua maana sina uzoefu wowoteMkuu sitaki kukuficha wala kukupa moyo..
TRA Wapo makini sana..ila kama una mda wa kupoteza nenda..
umakini wao upo kwasababu wana applicants wengi wenye vigezo so ku minimise fiirst stage mchujo ni kuanza kuangalia vitu vidogo vidogo kama nakala kugongwa copy na mwanasheria n.k
so ukienda usijue kuna msalia mtume..
Kijamaa kina Roho mbaya hiki!nenda kijana huwezi jua unaweza ukawa umeitwa peke yako!
Mkuu ni nakala gani za kugonga zinapita kwa mwanasheria? tujuzaneMkuu sitaki kukuficha wala kukupa moyo..
TRA Wapo makini sana..ila kama una mda wa kupoteza nenda..
umakini wao upo kwasababu wana applicants wengi wenye vigezo so ku minimise fiirst stage mchujo ni kuanza kuangalia vitu vidogo vidogo kama nakala kugongwa copy na mwanasheria n.k
so ukienda usijue kuna msalia mtume..
Mkuu, siku hizi kiukweli hawa waajiri wamekua wasumbufu sana..ndo mana ukiwa una enda interview na copy za vyeti vyako ni kheri uwe uumepitisha kwa mwana sheria kavi certify just to be on the safe side..Mkuu ni nakala gani za kugonga zinapita kwa mwanasheria? tujuzane
mkuu TRA wana fanya mchujo in various stages, so waki toa vacancies..wana sema degree ama equivalent to..sasa apa mkiomba atta na diploma mtapokelewa maombi yenu..mkiitwa sasa kule ndo utatoka unalalamika mbona hawakusema mapema n.k.....watu wanatoka mkoa afu wakikaguliwa vyeti kabla ya pepa written wana chujwa apo apoHii tanzania ya jeykei haijaisha tu? saiv ni hapa kazi tu! Watu wapo kitaa miaka 6 wewe unaitwa na result slip! Mh Majaliwaaaa njooo uku uone madudu.
Mwaka juzi mdogo wangu alikua kamaliza chuo ifm akaomba akaitwa usaili, nikamkataza asiende maana alikua hana cheti ana matokeo tu, akalazimisha akaenda alivyofika kwenye kukagua wakamrudisha. Tra wako makini kwenye kuangalia sifa za watu wawatakao.mkuu TRA wana fanya mchujo in various stages, so waki toa vacancies..wana sema degree ama equivalent to..sasa apa mkiomba atta na diploma mtapokelewa maombi yenu..mkiitwa sasa kule ndo utatoka unalalamika mbona hawakusema mapema n.k.....watu wanatoka mkoa afu wakikaguliwa vyeti kabla ya pepa written wana chujwa apo apo