ladybutterfly
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 216
- 60
Wateja wanakula sehemu ya mgahawa wenye wahudumu ambao ni pisi kali.Huwa nashangaaga sana mtu anapotoa nafasi za kazi na kutaka picha ya mtu atume iwe ni moja kati ya sifa za kuajiriwa.😩😩,nyie waajiri mnaotaka picha Zan watu hivi huwa mnaajiri muonekano kama rangi,mattercall,urefu ama ufupi,,au mnaajiri mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi ipasavyo??
Huu ni upuuzi na usengejazibend.
Toa nafasi za kazi,ruhusu watu waonyeshe uwezo walionao vichwani ili kuweza kuikuza biashara yako.fanya interview na watu tambua uwezo wao wapi nafasi ili wakukuze kibiashara mwamba.😏😏😏
Huu uduanzi ndio umeifanya Korea kusini iwe nchi inayoongoza kwa wasichana kufanya plastic surgery duniani.Huwa nashangaaga sana mtu anapotoa nafasi za kazi na kutaka picha ya mtu atume iwe ni moja kati ya sifa za kuajiriwa.😩😩,nyie waajiri mnaotaka picha Zan watu hivi huwa mnaajiri muonekano kama rangi,mattercall,urefu ama ufupi,,au mnaajiri mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi ipasavyo??
Huu ni upuuzi na usengejazibend.
Toa nafasi za kazi,ruhusu watu waonyeshe uwezo walionao vichwani ili kuweza kuikuza biashara yako.fanya interview na watu tambua uwezo wao wapi nafasi ili wakukuze kibiashara mwamba.😏😏😏
Mkuu ndo dunia now iko hivo most beautiful, first servedHuu uduanzi ndio umeifanya Korea kusini iwe nchi inayoongoza kwa wasichana kufanya plastic surgery duniani.
Kama sio mrembo maisha yako hata uwe na elimu gani hutakuwa na career ya maana. Labda ukahudumie wazee wasiojiweza.
Ndio tunapoelekea na sisi.
Mbona sina tercall na nina confidence.acha mambo yako basi ChiefMkuu ndo dunia now iko hivo most beautiful, first served
NB:Mwenye Trako ako na confidence kuliko aliye na degree
Basi ukisimama ww na mwenye takor, asilimia ya kuwin service kwako ww ni ndogo sana, Amini hiloMbona sina tercall na nina confidence.acha mambo yako basi Chief
Kuna kazi ambazo muonekano ni muhimu sanaHuwa nashangaaga sana mtu anapotoa nafasi za kazi na kutaka picha ya mtu atume iwe ni moja kati ya sifa za kuajiriwa.[emoji30][emoji30],nyie waajiri mnaotaka picha Zan watu hivi huwa mnaajiri muonekano kama rangi,mattercall,urefu ama ufupi,,au mnaajiri mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi ipasavyo??
Huu ni upuuzi na usengejazibend.
Toa nafasi za kazi,ruhusu watu waonyeshe uwezo walionao vichwani ili kuweza kuikuza biashara yako.fanya interview na watu tambua uwezo wao wapi nafasi ili wakukuze kibiashara mwamba.[emoji57][emoji57][emoji57]
Najaribu kuwaza sana hizi plastic surgery zinazoendelea nchini 🇹🇿 baada ya miaka 10 na joto hili🥺🥺🥺Huu uduanzi ndio umeifanya Korea kusini iwe nchi inayoongoza kwa wasichana kufanya plastic surgery duniani.
Kama sio mrembo maisha yako hata uwe na elimu gani hutakuwa na career ya maana. Labda ukahudumie wazee wasiojiweza.
Ndio tunapoelekea na sisi.
Huku kwetu kuna plastic surgeons kweli? Au ndio kuuana tu kabla ya muda. Asee bongo hamna plastic surgeons bana tusidanganyane.Najaribu kuwaza sana hizi plastic surgery zinazoendelea nchini 🇹🇿 baada ya miaka 10 na joto hili🥺🥺🥺
Hivi hao akina Muna,Irene na wengine wanafanyia wapi?inasikitisha mnoHuku kwetu kuna plastic surgeons kweli? Au ndio kuuana tu kabla ya muda. Asee bongo hamna plastic surgeons bana tusidanganyane.
Wadada mnachomwa sindano za silicon tu na makanjanja wa mjini.
Ndio akina nani hao?Hivi hao akina Muna,Irene na wengine wanafanyia wapi?inasikitisha mno
Hao wanafanya plastic surgery zao Turkey, the look of wema sepenga and now Masha love kaenda kufanya surgery ya matiti coz anaona yanamkosesha fursa za ajira kama hizi zinazotangazwa na muonekano mzuri ndio kinacho matter zaidiHivi hao akina Muna,Irene na wengine wanafanyia wapi?inasikitisha mno