Nafasi za kazi PPF

Kuna mtu yuko kwenye Taasisi fulani hapa Dar aliniambia kua wakishatanganza nafasi za kazi hua wanapokea applications kwa siku mbili au tatu tu . Then wana disturb system ili watu wasiendelee kutuma application zao kwa kua tayari wanakua wameshapokea applications za kutosha. Kwa hio tangazo likitoka omba fasta usisubirie deadline .
 

usidanganye mkuu mdogo wangu mwaka jana aliomba siku ya mwisho kutuma maombi lakin alipigiwa simu akahudhurie usaili pale UDSM
 
Habari zenu wanajamvii, mi nimeeka transcript vp kuna possibility ya kuitwa kwa interview?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…