Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Kucertify mkuu ni kwenda mahakamani au kwa wakili kuthibitisha kama copy za vyeti vyako ni copy za vyeti halisi,so atagonga muhuri wake na atatia saini,hapo zoezi la kucertify litakuwa limekamilika,then unaenda kuvituma,huko kucertify kuna gharama zake,mara nyingi mahakimu wa serikali hawana gharama kama binafsi,kila la kheri mkuu
Hivi kumbe kuna mahakimu binafsi(wakujitegemea) na mahakimu wa serikali?
Jaman kucertify ndo inakuwaje ?
Jaman kucertify ndo inakuwaje ?
Keel@cpb
Cheti chako unatoa copy za kutosha, kisha unazipeleka kwa mkuu wa idara hapo chuoni kwenu, wanazipiga certified stamp na kusaini... kwahiyo kila unapokutana na wanoko sawa na hao NMB, basi unapeleka hizo certified copies of original certificates... understand? Sometimes, hata kwenye baadhi ya vyuo vinavyotoa postgraduate degrees, wanakuwa na unoko huo wa kutaka certified copy of original certificates... so, a smart graduate, kabla hajaviacha viunga vya chuo baada ya kupata cheti chake, basi atatoa kopi kadhaa na kuzipeleka kwa mkuu wa idara for certification... NI MUHIMU SANA HII KWA WALE AMBAO HAWAJACHUKUA VYETI VYAO unless kama kuna option ya ku-certify kwa mwanasheria ambae, kama possible (and I think it is) ni lazima akutoe pesa!!Jaman kucertify ndo inakuwaje ?
Atakayeitwa kwenye interview tujulishane.