hizi post za leo walishatangaza utumishi wa umma na intervw tulifanyaga, kule mbezi juu uwanja wa baraza la mitihani. mwezi tano mwaka. Au waliopta kuendelea na oral hawakufanya vizur waliangukia pua?

​Ni kweli kabisa mdau,kazi za NECTA huhitaji sana walimu,labda zile za IT,UHASIBU,ULINZI,UDEREVA ila wengi ni walimu,aidha wa kutoka mashuleni au wa kutoka wizarani.Na hata tangazo lao wamesema kabisaaaa wanataka walimu.